![]() |
PAROKIA YA
MSIMBAZI Somo:Bikira Maria mama
wa fatma |
![]() |
|Nyumbani| | |Historia| | |Mawasiliano| | |Matukio| | |Mashirika ya Kitawa| | |Vyama vya Kitume| | |Mapadre| | |Baraza la Walei| | |Huduma| | |Sakramenti| | |Linki Muhimu| |
![]() Kavlario;Msalaba wa Jubilei unapotunzwa na parokia. |
Ujenzi
wa Kanisa la Msimbazi ulianza Septemba,1953 baada ya parokia kuzaliwa
Januari 13, 19952 na lilibarikiwa Juni 12,1959. Lilianza na Waamini
7000 na sasa ni zaidi ya 150,000. Paroko wa kwanza alikuwa PadreKlemens
Hug akisaidiwa na Padre Lucius Eisenring. Paroko wa Kwanza mzalendo
ni Padre Tarimo mwaka 1996.
Paroko wa sasa hivi ni Padre Masetus wa shirika la Makapuchin
Webmaster
|
|