PAROKIA YA MSIMBAZI
JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM

Somo:Bikira Maria mama wa fatma
Yohane 2:5"......Lolote atakalowaambia, fanyeni."

|Nyumbani| |Historia| |Mawasiliano| |Matukio| |Mashirika ya Kitawa| |Vyama vya Kitume| |Mapadre| |Baraza la Walei| |Huduma| |Sakramenti| |Linki Muhimu|

 

 

                    Karibu katika Tovuti yetu!!
Tunayo Furaha kuwajulisheni mambo mbalimbali kuhusu parokia yetu.Karibuni sana!!!!
Kupitia Tovuti tutaweza kuwafikia watu mbalimbali hapo hapo kabla hatujawahi kukutana nao.

 

 

 

 


Bado ukurasa upo kwenye matayarisho!!!!
Webmaster
(c)copyright,2006 Msimbazi Parish Archdiocese of Dar es Salaam
Muda wa Ibada na Misa

Parokiani

Misa za Jumapili   1:Saa 12:45 Asubuhi
                                  2:Saa 2:30 Asubuhi
                                  3:Saa 4:00 Asubuhi                    
                                  4:Saa 10:30 Jioni  
Misa za Kila Siku:
Jumatatu-Ijumaa      
Saa 12:45 Asubuhi
Ijumaa                        
Saa 11:30 Jioni

Alhamisi,Kuabudu Ekaristi 1:Saa 11:30 Jioni
Vigango
                                
                             


Maaskofu wa Jimbo